HIVI UNAZIJUA Njia Ya Kuzia UTI ( Usiwe Na maumivu Wakati Wa Sex)

1.Nenda  bafuni mara tu unapomaliza sex.
Ndio. nafahamu kuwa unahitaji kukumbatiwa muda wa kutosha. nafahamu kuwa utaharibu mood  yako.
Lakini unahitaji Kwenda kujisafisha. Nenda kachuchumae itakusaidia  kuondoa bacteria wa UTI. Kwa hio ni vizuri kila baada ya sex kwenda bafuni kujisafisha.
2.Underwear zako ziwe za cotton.
Haijalishi mwanaume wako anazipenda vipi nguo zako za ndani za dizain mbalimbali. Usivae nguo ambazo zinakuletea matatizo ambayo utashindwa kufurahia tendo la ndoa. Unaweza kuvaa siku moja moja , lakini isiwe kila siku ndio vazi lako. Upe mwili wako chumba cha mapumziko.
3.Kunywa maji ya kutosha.
Nafasi ipo, lakini hutumii maji ya kutosha. Hakikisha unatumia maji  zaidi kwa kunywa . kwa sababu ukitumia maji mengi utapata haja ndogo zaidi.  Na jinsi unavyokwenda bafuni mara nyingi ndivyo wadudu hao wanaondoka.  Hata hivyo maji yatakufanya uwe na ngozi nzuri na yataboresha  mfumo wa kinga yako.
4.Usiende shimo moja hadi shimo lingine.Hasa wanaume
maumivu-ya-hedhi1 Njia Ya Kuzia UTI ( Usiwe Na maumivu Wakati Wa Sex)
Wakati wa sex usipende kuingia katika mashimo yote,  mdomo una bacteria wa chakula,  usipende kuingia mdomoni mara kwenye vagina, utasambaza  bacteria wa UTI na utakuja kujilaumu kufanya hivyo. watu wengi hawaelewi  UTI Inatokea wapi. lakini hizo ndio njia za kupata UTI. Epuka sana kuingiza kiungo chako mdomoni kwa mtu. Ingiza mahali sahihi tu.
5.Jisafishe kuanzia mbele kwenda nyuma.
Unapoenda bafuni, hakikisha  unajisafisha kuanzia mbele halafu nyuma. kama utafanya kinyume chake lazima utakutana na bacteria wabaya na kusababisha ugonjwa huo wa UTI.
6.Hakikisha viungo vyenu vya uzazi ni visafi.
Kabla ya kufanya sex, hakikisheni viungo vyenu ni visafi. Fanyeni mtakavyo lakini  kuwe na uhakika wa usafi wakati mmoja.
7.Pata Vitamin C.
Kula yogurt, Tumia juice ya lemon, tumia tangawizi, kula kitunguu swaumu. Utajisaidia kuua bacteria , Badala ya kumeza madawa Ya kujaribu kuponya huo ugonjwa, hutaweza kupona kwa haraka.zaidi sana utasababisha madhara mengine.
8.Usiruke Ukuta.
Hakuna sababu ya kuruka ukuta wakati unayo vagina hapo na ni safi. Utasababisha hasira. utapata laana.
9.Uwe na Mpenzi mmoja.
Usipende kufanya sex na watu mbalimbali , zaidi ya kupata UTI, Utakutana na mengine makubwa zaidi.  Usafi  sio tu kuoga na kuvaa nguo safi, bali usafi pia ni kujitunza, kutotumika na watu wengi.
10.Uwe makini na Vyoo unavyotumia.
Hasa kwa wanawake, ukiingia chooni hakikisha unamwagia maji kwanza ndio ukae. vinginevyo utabeba bacteria walioachwa na mtu mwingine. Matokeo yake UTIs . Kuwa makini.

No comments