JAPO INACHEKESHE. ILA 2JIFUNZE KITU HAPA :::::::::::::::
Dogo kamuuliza baba yake: "Eti" baba
unataka kuanza shule?
Baba akauliza: "kwanini umeniuliza hivyo.....?
Dogo akajibu: jana usiku nilisikia
Ukimnong'oneza mama, Eti kama hujachoka tuludie tena la pili.
Hivi baba mimi niko la nne iweje wewe na mama mludie la pili?.Usikubali hata kidogo."Baba akamwambia."
Kuanzia leo unalala jikoni mshenziwewe.
Mpe na mwenzako akenue menu kidogo::
By:: mkali wao
No comments