UNAJUA Kama Utadumu Na Mwenza Uliyenaye??????
1.Kipaumbele chenu kitakuwa kimoja.
2.Utamuheshimu naye atakuheshimu.
3.Familia Na marafiki wataona kitu unachokiona wewe kwake.
4.Hakuna drama
5.Utaweza kutatua matatizo kwa urahisi.
6.Hutakuwa unamfukuzia kwenye mahusiano, utaona urahisi.
7.Unapokuwa karibu maye utajisikia vizuri ,utajisikia kama upo nyumbani.
8.Utaona jinsi anavyokutreat vizuri, mapenzi yatakuwa rahisi,sio ya comedy,hayatokei kama ajali.
9.Atakusaidia kukua kiroho, kuwa na balance, Ni zaidi ya ushirika wa kimwili.
10.Utakuwa na connection kiakili, kimwili pia.
11.Utamhisi na yeye atakuwa anakuhisi bila hata ya kuonana.
12.Furaha yako , huzuni yako, mafanikio yako ni ya kwake pia.
13.You accept each other, love each other, respect each other,Understanding each other.
14.Kitu ambacho hutaweza kufanya kwa wengine utakifanya kwake.
15.Utakubali madhaifu yake, tofauti zake, utajua uzuri na ubaya wake wote, utajua siri zake na yeye atajua siri zako.
16.Utakuwa huru kwake kwa sababu tayari unayo picha kubwa.
17.Utajiona kuwa mkamilifu, utajitambua .Kwa sababu utakuwa unaamini kuwa unapendwa, utakuwa umeruhusu mtu mwingine kukupenda.
18.Kwa sababu ya kupenda nafsi yako, ya kumpenda jirani yako , Unampenda Mungu. uko salama

No comments