VUNJA MBAVU: SMS Za Vichekesho Na Utani

1. Kama ubinadamu kazi mbona hatupewi mishahara?

2.Hata njiwa nae ANA MAKINDA, lakini hawezi kuwa SPIKA wa Bunge

3.Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika

4.Hata uwe mtaalamu wa kuosha vyombo kiasi gani huwezi kuosha vyombo vya habari

5.Hata uwe na imani kali vipi, huwezi kusali wakati unafanya mapenzi

6.Mwanaume hata awe bahili vipi, hawezi kumpa mwanamke mimba nusu

7.Hata uwe na magari mangapi chooni utaenda kwa miguu

8.List ya wanyakyusa waliozamia Marekani:

1.Rick Ross (Eric Mwairosi)
2.Kanye West(Kanyetile MwalweseT)
3.Lady Gaga(Lidia Mwaigaga)
4.Chris Brown(Christopher Brown Mwakikonyola)
5. Baraka Obama (Baraka Mwakalinga)​

No comments