Mke wangu anatuma post za kunisimanga Facebook
Very sad,amekuwa akiweka ujumbe wa ajabu ajabu kwenye wall yake ya Facebook, na sasa hii ndio profile picture yake.
Hii amenza kufanya kama miezi miwili na nusu nyuma, na mbaya zaidi ni kwamba yeye ni mlokole na amehama Kanisa letu lilotulea na kuhamia kwenye makanisa ya miujiza.
Yeye yuko very demanding, ukimwambia mshahara hautoshi, kwake ni maneno, nimejaribu kufungua biashara na yeye ndiyo msimamizi mkuu.Bado faida haionekani licha ya kuwa sichukui chochote toka kwenye biashara hizo.
Analalamila kisa eti kila mwezi namtumia mama kijijini laki 3, what is laki tatu by the way ni sawa na elfu kumi kwa siku.
ukimuelewesha haelewi, anataka mama yake nimtumie laki tano,mpaka sasa nahisi amegeuka kero na mzigo.
Sina mengi, ila namshukuru Mungu kwa yote.
peaneni space
MAONI YA WADAU:
WAKWANZA1.
achaneni kwa muda ili muweze kukumbuka mazuri yenu mrudiane....
thamani ya kitu ni mpaka kikutoke.....muache kwa muda utaona mabadiliko
WAPILI:
wanawake wa facebook ndo tatizo!!! huko anachati na vitoto vya secondary lazima awe na akiri za secondary...
No comments