WAKUBWA TU!!!..JE WAJUA NINI HUSABABISHA HAMU YA KUFANYA MAPENZ KILA MARA , SOMA HAPA
Kuna mambo mengi sana ambayo husabisha kuhisi hamu ya kuwa na mwanaume au mwanamke kila mara hapa nitaorodhesha machache yale ya muhimu.
1) Upweke mara nyingi hupelekea sana akili ya mtu kuhama na kutafuta kitu mbadala cha kuweza kujiliwaza na mara nyingi huchagua raha za kimwili kama kufanya mapenzi au kuwa na mwenza karibu.
2) Story za Mapenzi kama vile kusoma vitabu vya mapenzi kuangalia picha zenye mvuto wa kimahaba pia kusikia habari hizo vyote hivi vinaweza kukusababishia hamu kubwa sana ya kufanya mapenzi.
3) Kuzoea sana kufanya tendo hilo na mtu ambaye uko karbu nae, na kisha mtu huyo kuondoka au kutenga nae, hii hali inaweza kukupa shida sana kwani huduma ya karibu tena hauna hivyo utaishia tu kuwa na hamu sana ya tendo hilo na kuanza kuhangaika kutafuta njia mbadala.
4) Pombe na vilevi vingine pia huleta sana hamu ya tendo la ndoa wakati mwengine watu hufikia hata kubaka kwa kushindwa kujizuia.
Haya ndio machache makubwa yanayoweza kusababisha mtu kupatwa na hamu ya tendo a ndoa mara. Unaweza kuyaepuka...!!?
No comments