Msamaha Ni Ufunguo Ndani Ya Mahusiano
Maisha bila Upendo hayana maana, Mahusiano ya kila mtu yanahitaji upendo uliopo ndani ya moyo wa mtu. Hutaweza kumpenda mwenza kama hujaweza kuipenda nafsi yako, hutaweza kumpenda Mungu, na hutaweza kuwapenda wengine
Watu ambao tunawataka kuwa nao ni wale ambao watatufanya tukue katika mawazo mapya, kazi mpya, afya nzuri, mitazamo mizuri na hata matendo mazuri ili tuweze kuishi maisha yenye maana kamili.
Bado, kutunza mahusiano sio kazi nyepesi. Mahusiano ya karibu huwa bora zaidi pale watu wawili wanapokutanisha mahitaji yao na matarajio yao bila ya kupoteza malengo yao na mahitaji binafsi. Mahusiano yanahitaji maelewano, kushuka na kusameheana wakati mmoja wa wenza anapomkosea mwingine.
Ukiwa na utayari wa kumsamehe mwenza wako , mahusiano yako yatakuwa na afya.Haijalishi mkoje. Haiwezekani mkaelewana kwa kila kitu. mmoja anaweza kuwa anataka kufanya jambo fulani , lakini mwingine akapinga. hio haiharibu kitu kwa sababu ya kuwepo kwa maelewano yenu .Hakuna anayetaka kumwangusha mwingine.
Uaminifu. Ukipoteza uaminifu unaua mahusiano. kama kukiwepo na mtazamo Negative, Uaminifu unakosekana . Angalia jinsi Mungu anavyokuhitaji wewe Umwamini. Bila imani huwezi kumpendeza Mungu. Vivyo hivyo katika mahusiano yako , kama hakuna uaminifu ni tatizo.
Usaliti unaletwa na kutokuwa mwaminifu, Lakini kama ukiwa unaweza kushughulikia matatizo ndani ya mahusiano yako huo ndio ufunguo wenye afya .Msamaha una umuhimu, unasababisha kuondoa hisia za maumivu, hutaweza kushikiliwa na mabaya , utachukua hatua ya kuboresha urafiki wa kimapenzi kati yenu.
Ukiwa na moyo wa kusamehe hata siku moja hutaweza kuwa msaliti, utakuwa ni mtu mwaminifu katika kila vipengele vya maisha yako.hutakuwa mtu wa kulaumu, kuhukumu wala kutaka makuu.
Msamaha ni ufunguo. Imani ya mtu inalinda na kutunza mahusiano. Watu ambao wanajali, ni rahisi kwao kusamehe, Kupenda, kuwakubali wenza wao, kuwaamini.
Kama uliwahi kusalitiwa na unapigania jinsi ya kumsamehe mwenza wako, inaweza kusaidia kama utaweza kufikiria jambo zuri ambalo mwenza wako amewahi kulifanya kwako, kama kuonyesha kukujali, anafanya jambo ambalo mara nyingi hukutegemea, au ulitegemea. Bado utamtazama kama mtu ambaye anakujali na kufanya kitu sahihi kwako?
Focusing on the level of trust, utapata uponyaji wa haraka na utapata urahisi wa kutatua matatizo yako na jinsi ya kutunza mahusiano yako kila siku ili yaendelee kuwa na afya njema kwa ajili yenu .
Ipende nafsi yako, Mpende Mungu, Wapende majiraji zako. Kwa kufanya hivyo milango yako itakuwa wazi katika kazi zako , biashara zako, mahusiano yako, ndani ya jamii .Msamaha ni ufunguo wa furaha katika mahusiano yeyote.
Subscribe ili kupata makala mpya mara kwa mara.

No comments